Swahili - Sorah Al-Masad ( The Palm Fibre ) - Noble Quran

Noble Quran » Swahili » Sorah Al-Masad ( The Palm Fibre )

Choose the reader


Swahili

Sorah Al-Masad ( The Palm Fibre ) - Verses Number 5
تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ ( 1 ) Al-Masad ( The Palm Fibre ) - Ayaa 1
Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
مَا أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُ وَمَا كَسَبَ ( 2 ) Al-Masad ( The Palm Fibre ) - Ayaa 2
Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma.
سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ ( 3 ) Al-Masad ( The Palm Fibre ) - Ayaa 3
Atauingia Moto wenye mwako.
وَامْرَأَتُهُ حَمَّالَةَ الْحَطَبِ ( 4 ) Al-Masad ( The Palm Fibre ) - Ayaa 4
Na mkewe, mchukuzi wa kuni,
فِي جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍ ( 5 ) Al-Masad ( The Palm Fibre ) - Ayaa 5
Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa.

Random Books